Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in /var/www/html/pesatimes.co.tz/wp-content/plugins/seo-ultimate/modules/class.su-module.php on line 1195
Dau hewani
You are here
Home >

Mikakati muhimu ya dau hewani

Wageni na watu wenye uzoefu katika fani ya kubeti wanapaswa kufahamu kwamba ufuataji wa mikakati ya dau hewani ndio hatua sahihi ya kupata ushindi wakati wote. Ustadi wa kubeti “live” ndio kuwa na ustadi wa mtu kufanya uamuzi muhimu zaidi kwa muda mfupi sana kuhusu tokeo la mechi. Lakini mtu anapaswa awe na ujuzi na ustadi mwingi.

Tunapendekeza kuangalia mikakati iliyo maarufu sana inayofuatwa na watu kubeti “live”:

  • Dau ya kufunga goli kwa timu ya uongozi. Mara nyingi vizigeu vya kufunga goli vinaanza kuongea katika katikati ya kipindi cha kwanza cha mechi. Ukiona kwamba timu moja ina fursa nyingi zaidi kufunga goli unaweza kubeti kwa hakika. Takwimu inayothibitisha marudio ya kufunga goli inaweza kuwa msingi wa kuiunga mkono timu fulani. Motisho wa wanamichezo wa timu fulani unaoweza kuwasaidia wanamichezo hao kupiga goli ndio pia msingi mzuri wa kuiunga mkono timu hiyo!
  • Watu wenye uzoefu katika fani ya kubeti katika dau ya kufunga goli hutumia mkakati wa aina ya “flat”. Maana yake ni kubeti kwa kiasi si zaidi ya 5% kwa kiasi cha jumla cha fedha – bankroll. Kabla ya kubeti katika dau ya kufunga goli ingefaa kuangalia kwa makini takwimu, na kiasi kikubwa cha magoli cha timu fulani kinachonyesha kwamba timu hiyo inafuata mkakati wa kuvamia!<
  • Kubeti katika timu yenye nguvu zaidi itakayofungwa goli. Mara nyingi kwamba timu yenye nguvu zaidi inakosa goli la kwanza lakini hatimaye itashinda. Uangalie kwa kitu takwimu ya mechi zilizopita, kwani timu nyingine zinacheza vibya kwa makusudi kipindi fulani cha mechi!
  • Mkakati wa aina ya “surebet” ulio mashuhuri sana unatumiwa mno kubeti kabla ya mechi. Tofauti ya kufuata mkakakti huo hewani ni kwamba mfuataji wa mkakakti huo anapaswa kutabiri kujitokeza mechi yo yote katika uwanja wa “kubeti hewani/live”. Mtu hutabiri matokeo ya mechi katika makampuni ya kubeti kadhaa na husubiri wakakti ambapo matokeo ya mechi yatakapojitokeza. Mkakati hiyo inafuatwa katika michezo ya aina ya haraka haraka kama tenisi, mpira wa mezani, mpira wa kikapu na kadhalika.

Kubeti “live” ni jambo la hatari, na mtu anayeshughulika na kubeti anapaswa kuchemsha bongo na kufanya uamuzi dhahiri kwa haraka. Kwa hivyo inashauriwa kufuata mikakati ya aina ya “live” kwa watu wenye uzoefu mkubwa walio na uhakika kwa 100% kuhusu ustadi wao.
Siku hizi asilimia 45 za watu wanaoshiriki katika michezo ya kamari wanabeti “live”. Makampuni ya kubeti yaliyo mengi yaliratibu nyanja za michezo yao zinazoonyesha mtandaoni mechi mbalimbali. Watu wanaotaka kubeti wanapaswa kujisajili katika tovuti ya kampuni la kubeti fulani na kuweka pesa katika akaunti yake ili kuwa na fursa ya kubeti live na wakati huo huo kuangalia mechi katika tarakilishi yake.

Top