Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in /var/www/html/pesatimes.co.tz/wp-content/plugins/seo-ultimate/modules/class.su-module.php on line 1195
Vipi kubeti barabara katika michezo
You are here
Home >

Vipi kubeti vyema katika michezo: kanuni za kimsingi

Ukitaka kupata pato la kudumu katika mambo ya kubeti usifikiri kubeti ni mfano wa bahati nasibu. Kujifunza takwimu mara kwa mara, kusoma habari za michezo na pia kuboresha ustadi wa kubeti ni mambo yatakayokusaidia kushinda. Wakati mwingi wageni katika mambo ya kubeti wanataka kubeti katika viongozi wa michezo au wanataka kutafuta mkakati wa kuleta ushindi ambao wanaufuata. Lakini njia hizi mbili ni makosa tu. Je, kubeti barabara katika michezo vipi?

Kampuni la kubeti hufanyaje kazi?

Vizigeu vilivyowekwa kwa makini kubwa vinaleta mapato kwa makampuni ya kubeti. Kila timu ya makampuni hayo kuna wachambuzi wanaotabiri aina halisi za matokeo na kuweka vizigeu. Watu wanaotaka kubeti huchagua matokeo yatakayoleta ushindi kwa maoni yao, baadaye hubahatisha na hushindwa.

Kwa mgeni mstari wa dau ni jambo tata kabisa, bali mchambuzi wenye maarifa anafahamu faida anayoweza kuipata kwa vizigeu na nambari zote katika mstari wa dau. Anaona vizigeu vilivyopunguzwa na vile vilivipandishwa na anatumia habari hizo kwa manufaa yake. Wachezaji wanaopata pato la kudumu katika mambo ya kubeti hulingana vizigeu katika makampuni ya kubeti mengine na huchambua vizigeu vya makampuni makubwa kutika nchi za nje.

Dau zilizoongozwa (value bets) na riba ya aina “margin”

Chanzo cha msingi cha mapato ya kampuni la kubeti ni vizigeu visivyo sawa. Kwa mfano ikiwa matokeo ya mechi yaliyotabiriwa yatakuwa halisi basi watu wote waliobeti watashinda na kampuni la kubeti litapotea fedha zote. Kwa hivyo vizigeu vinapunguzwa. Hata ikiwa tofauti kati ya vizigeu halisi na vile vilivyopunguzwa ni dogo sana kampuni hilo litapata pato lake baada ya muda mrefu na mchezaji atapotea fedha zake zinazoitwa “bankroll”. Mkakati huo si madanganyo, lakini hakuna kusema kwamba ni mwadilifu. Kitendo hicho kina jina lake la haki yaani “margin”. Wakati mwingi kiashirio hicho kiwa sawa na ukubwa wa asilimia 7. Myumboyumbo wa kiashirio hicho unategemea na busara ya kila kampuni la kubeti.

Kanuni ya dau zitakazoleta ushindi

Ukitaka mambo ya kubeti yatakuletea pato bora utafute dau zilizopandishwa. Ingefaa kuchambua kwa kujitegemea na kwa makini kubwa takwimu. Mchezaji anapaswa kufahamu vizuri zaidi kanuni za aina ya michezo fulani na kufahamu vipengele vyote vya michezo hiyo. Watu wenye maarifa wanatumia mkakati unaoitwa “surebet” kwa mara nyingi. Maana ya mkakati huo ni kubeti katika mambo fulani ya michezo na katika makampuni ya kubeti kadhaa. Akishindwa katika kampuni moja atajifidia ushinde wake kwa ushindi katika kampuni jingine. Inashauriwa pia kutumia bonasi mbalimbali.

Mashauri ya watu wenye maarifa

Wageni katika mambo ya kubeti hawatafilisika wakifuata mashauri yafuatayo:

  • umakinike aina moja tu ya michezo;
  • ujifunze aina zote za dau;
  • ujifunze kufahamu maana ya vizigeu;
  • ufuate mkakati uliouchagua;
  • ubeti katika makampuni ya kubeti kadhaa;
  • uchambue habari mara kwa mara;
  • ujifunze makosa yako baada ya ushinde;
  • ufanye takwimu ya dau zako;
  • udhibiti hisia zako na uwe na busara!

Mbinu ya busara ya kubeti itakuwezesha kufurahi shughuli zako na kupata fedha.

Top